Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kwamba
hakuna sababu hata moja itakayoifanya nchi yake kumkamata rais wa Sudan
Omar al-Bashir ikiwa ataalikwa kuhudhuria kikao cha Umoja wa Afrika
kitakachofanyika nchini Rwanda mwezi Julai mwaka huu.
Rais Bashir anasakwa na
mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita (ICC) kwa tuhuma za uhalifu
wa kivita na mauaji katika jimbo la Darfur.
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete